Msako mwingine robo fainali kupigwa leo
MSAKO wa kuisaka tiketi ya kucheza robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), inaendelea leo kwa mechi mbili za kundi A kupigwa ambapo Morocco itacheza na Zambia inayoburuza mkiani. Mechi hiyo itakayopigwa kwenye Uwanja wa Kasarani, Nairobi itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni kisha mtanange mwingine wa kundi A kati…