Samia aahidi neema kwa wakulima
Mbinga. Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa, endapo atapata ridhaa ya kuongoza miaka mingine mitano Serikali itafanya jitihada za kuimarisha masoko ya mazao na kuendelea kutafuta bei bora ili mkulima afaidike na nguvu zake. Samia ametoa ahadi hiyo leo Septemba 21, 2025 wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika…