RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA MTANDAO NA PETER SANDS

  ……….. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezungumza kwa njia ya mtandao na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kimataifa wa kusaidia Mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) Bw. Peter Sands kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Mfuko huo na Tanzania, Ikulu…

Read More

Januari 21, 2025 kusuka ama kunyoa Chadema

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaja siku ya tarehe 21 Januari 2025 kuwa ndio siku ya Mkutano wake mkuu wa uchaguzi utakaomchagua Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 16 Desemba 2024 , John Mnyika, Katibu Mkuu wa chama hicho…

Read More

MKUTANO WA COP29 YALETA NEEMA TANZANIA

  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswaga akifuatilia mkutano wa pembezoni alipokuwa kwenye banda la Jamhuri ya Muungano waTanzania katika Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) unaofanyika Baku nchini Azerbaijan. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo…

Read More

Mgombea udiwani Marangu aahidi kushirikiana na mbunge kuleta maji

Moshi. Mgombea udiwani wa Kata ya Marangu Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Shirima ameahidi kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi wa kata hiyo, ikiwemo upatikanaji wa maji safi na salama, barabara za ndani pamoja na ajira kwa vijana. Akizungumza leo Septemba 26, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Marangu Mtoni, Shirima amesema changamoto kubwa…

Read More

Kigogo Chadema atangaza nia urais Zanzibar

Unguja. Licha ya kutangaza dhamira yake ya kugombea urais Zanzibar, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Said Mzee Said amesema bado msimamo wa chama hicho upo palepale bila ya kuwepo kwa mabadiliko ya sheria na mifumo hakutakuwa na uchaguzi wa Tanzania. Said anatangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kuvaana na…

Read More

Mataifa masikini yapewe fedha zaidi – DW – 13.11.2024

Rasimu hiyo iliyotolewa leo Jumatano haijaleta suluhu za hoja za muda mrefu ambazo zimechelewesha makubaliano ya ongezeko la fedha zaidi kwa mataifa masikini yanayoathirika na mabadiliko ya tabianchi. Kufikia makubaliano mapya ya kuongeza fedha kwa ajili ya hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa katika nchi masikini ni kipaumbele muhimu kwa wapatanishi takriban…

Read More

Wakulima Maswa wakabidhiwa matrekta kilimo cha pamba

Maswa. Wakulima wa zao la pamba wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wamekabidhiwa matrekta 50 yaliyotolewa na Serikali kupitia Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), kwa lengo la kurahisisha shughuli za kilimo bora na kuongeza tija katika uzalishaji wa zao hilo. Akizungumza leo Jumapili Oktoba 19, 2025, katika Kijiji cha Hinduki wilayani humo wakati wa hafla ya makabidhiano,…

Read More