VIBE LA WANA MBINGA KWA DK.SAMIA SI MCHEZO

Na Said Mwishehe,Michuzi TV HAKIKA wana Mbinga wana Vibe sio mchezo!Ndivyo unavyoweza kueleza kutokana na wingi wa wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni za mgombea urais Dk.Samia Suluhu Hassan. Dk.Samia leo anapokelewa mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuendelea na mikutano yake na leo atatanya mikutano miwili ukiwemo wa Wilaya ya Mbinga na baadae atakuwa na…

Read More

Mbinu kukabiliana na machungu ya kuachwa

Kuachwa na mwenza ni moja ya mambo yenye uchungu mkubwa katika maisha ya binadamu. Inaweza kuvunja moyo, kuharibu mtazamo wa maisha, na kusababisha hali ya kutojiamini, huzuni na hata msongo wa mawazo. Watu wengi hujikuta katika hali ya kukata tamaa, kujitenga na jamii au hata kupoteza mwelekeo wa maisha. Hali hii huathiri si tu hisia…

Read More

Somo kwa wale wanaowatelekeza watoto

Canada. Visa vya matajiri wakubwa watatu duniani na marais wawili wa Marekani vinasisimua, kufikirisha, na vinafundisha kwa wenye akili na busara. Marehemu Steve Jobs,  mwanzilishi wa  kampuni kubwa ya Apple, Jeff Bizos wa Amazon, na Larry Elison wa Oracle wanaweza kutufundisha kitu juu ya nani anapaswa au anaadhibiwa kati ya wazazi na watoto waliozaliwa nje…

Read More

Bado Watatu – 35 | Mwanaspoti

Raisa alifanya kazi ya ziada kunibembeleza ninyamaze na akanipa moyo kwamba yaliyonitokea ni mitihani tu na kwamba Mungu ataniepushia balaa. Muda wa kulala ulipowadia, Raisa alinikaribisha chumbani mwake. Raisa hakuwa na mume, lakini nilipoingia chumbani mwake niliona suruali ya kiume aina ya jeans imetundikwa kwenye mlango. “Mbona kuna suruali ya kiume humu ndani?” nikamuuliza. “Nina…

Read More

Maximo sasa freshi KMC | Mwanaspoti

UONGOZI wa KMC umesema kwa sasa kila kitu kimekamilika kwa kocha mkuu wa timu hiyo raia wa Brazil, Marcio Maximo, baada ya kushindwa kukaa benchi katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2025-2026, dhidi ya Dodoma Jiji. Katika mechi hiyo iliyopigwa Septemba 17, 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge jijini…

Read More

Yanga yarudi na siri kutoka Angola

WAKATI kikosi cha Yanga alfajiri ya leo Jumapili kikiingia Dar es Salaam kikitoka Angola, kuna kitu ambacho kocha wa timu hiyo, Romain Folz anatamba nacho huku mwenyewe anasema bado yupo katika kuijenga timu imara msimu huu. Wakati Folz akiyasema hayo, kuna siri imefichuka huku Yanga ikiwa tayari imefanya mambo makubwa katika mechi mbili za kimashindano,…

Read More

Dakika 90 zilivyoipa Yanga rekodi mpya Angola

YANGA imeanza kwa kishindo msimu mpya wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiichapa Wiliete ya Angola kwa mabao 3-0, ikiwa kama imetanguliza mguu mmoja kufuzu hatua inayofuata ya mchujo. Yanga imewahi kuzing’oa timu mbalimbali za Angola, lakini ushindi huo uliopatikana kwenye Uwanja wa Novemba 11, Luanda unavunja unyonge wa mabingwa hao wa Tanzania kushinda ndani ya…

Read More

Mfaransa aukubali mziki wa Doumbia, Andabwile

BAADA ya kupoteza mbele ya Yanga katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali, Kocha wa Wiliete Benguela ya Angola, Bruno Ferry, amekubali ubora wa mastaa wa wapinzani hao, huku Mohamed Doumbia akimshtua. Bruno raia wa Ufaransa ambaye aliwahi kuifundisha Azam akiwa kocha msaidizi, sasa ni kocha mkuu wa kikosi cha…

Read More