Msasi: Dawa hutawanywa kulingana na ngazi ya matibabu-2

Dar es Salaam. Wakati malalamiko ya wananchi kuhusu ukosefu wa dawa yakiendelea kusikika katika baadhi ya vituo vya afya nchini, imebainika sehemu ya changamoto hiyo inatokana na wagonjwa kuhitaji dawa ambazo hazijapangwa kwa ajili ya ngazi ya huduma wanazozifuata. Hali hiyo inaonekana zaidi kwa wagonjwa wanaopata matibabu katika hospitali za juu kama za rufaa za…

Read More

Sh3 milioni zamweka matatani Mtendaji wa kijiji Simanjiro

Simanjiro. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Godbles Mollel amefikishwa mahakamani kwa kosa la rushwa kwa kutumia Sh3.3 milioni isivyo halali. Mollel amesomewa shitaka hilo la uhujumu uchumi leo Septemba 17, 2025 mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Onesimo Nicodemo. Mwendesha mashtaka wa…

Read More

Fahamu Faida 7 za Ajabu za Kula Mlenda Mwilini

Global Publishers March 16, 2026 0 Comments Mlenda ni mboga inayopatikana kwa urahisi sokoni na majumbani, lakini watu wengi hawajui kuwa ni dawa asilia yenye virutubisho vingi sana. Licha ya ute wake, mlenda una faida kubwa kiafya na unashauriwa kuingizwa mara kwa mara kwenye mlo. Hizi hapa ni baadhi ya faida zake muhimu: 1. Huboresha…

Read More

Mandonga atamba na ngumi kusanyakusanya Tabora

BONDIA machachari wa ngumi za kulipwa nchini  Kareem Mandonga  sambamba na wenzao wamepimwa uzito leo kwa ajili ya mapambano yatakayofanyika kesho Jumamosi, huku bondia huyo akitamba na ngumi mpya iitwayo ‘Kusanyakusanya’. Mandonga na wenzao wanatarajia kupigana kesho usiku katika  ‘Usiku wa Mabingwa wa Tabora’ ambapo Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Belti Wella kwa niaba…

Read More

Rehema: Ujane si hukumu, napambana kutunza wanangu

Mbeya. Alfajiri ya Nonde jijini Mbeya, huanza kwa sauti ya mafuta yanayochemka kwenye karai jeusi. Mwanga hafifu wa jiko la mkaa humulika uso wa Rehema Mwanjonde (30) huku mikono yake ikichanganya unga kwa ustadi. Kabla ya jogoo kuwika mara ya pili, maandazi ya kwanza huwa tayari yameiva, ya moto, yenye harufu inayochochea hamu ya mteja…

Read More

WAZIRI MKUU AAGIZA WAKANDARASI KULIPA WAFANYAKAZI KABLA HAWAJACHUKULIWA HATUA

  Na, Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha Waziri mkuu  Dkt.Mwigulu Nchemba amewataka wakandarasi wanaojenga miradi mbalimbali nchini kulipa stahiki za wafanyakazi wao kama walivyokubaliana kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo linalojengwa soko la kisasa la  kilombero baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa stendi na soko…

Read More