Israel yaendelea kukabiliana na Hezbollah – DW – 21.08.2024
Kundi hilo la Hezbollah limevurumisha zaidi ya roketi 50 na kuharibu nyumba kadhaa za raia katika eneo linalokaliwa kwa mabavu na Israel la milima ya Golan. Hezbollah imesema hilo ni jibu kwa shambulio la Israel huko Lebanon usiku wa Jumanne ambalo lilisababisha kifo cha mtu mmoja na kuwajeruhi wengine 19. Jeshi la Israel limesema hivi…