Mgombea urais NLD alia na usawa, heshima

Dar es Salaam. Wakati Chama cha National League for Democracy (NLD) kikiwa kimetangaza kuzindua kampeni zake Septemba 4, 2025 mkoani Tanga, mgombea urais wa chama hicho, Doyo Hassan Doyo, ametoa tahadhari akidai kwamba kwa siku tatu tangu kuanza kwa kampeni, kuna viashiria vya kutokuwepo kwa usawa na heshima kwa wagombea urais. Akizungumza leo Jumapili, Agosti…

Read More

Mbwana Samatta mdogo mdogo Ligue 1

NAHODHA wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta ameendelea kuizoea Ligi Kuu ya Ufaransa, baada ya usiku timu anayoichezea ya Le Havre kupata ushindi wa kwanza wa mabao 3-1 dhidi ya Nice. Katika mechi hiyo ya Ligue 1, nyota huyo wa kimataifa wa Tanzania alitumika kwa dakika 85, wakati timu ikiwa tayari inaongoza kwa…

Read More

Wasira awataka wanachama CCM kuacha makundi

Arusha. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa chama hicho kuacha makundi yaliyotokana na mchakato wa ndani wa chama wa kura za maoni kuwapata wagombea wa ubunge na udiwani. Amesema hayo leo Jumapili, Agosti 31, 2025, alipozungumza na viongozi wa ngazi mbalimbali za CCM jimbo la Arusha Mjini na…

Read More

Taharuki Kariakoo, moto ukiteketeza duka moja kati ya 100

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa Kariakoo leo wamekumbwa na taharuki baada ya moto kuzuka katika jengo moja lililopo katika makutano ya mitaa ya Aggrey na Sikukuu na kuharibu chumba kimoja cha duka kati ya vyumba 100 vilivyopo katika jengo hilo.Tukio hilo limetokea leo Agosti 31, 2025 saa 5:30 asubuhi na kuwashtua wafanyabiashara na wateja waliokuwa…

Read More

Wengine sita watiania ZEC urais wa Zanzibar

Unguja. Harakati za kusaka Ikulu ya Zanzibar kwa kipindi cha miaka mitano ijayo zimeendelea  kushika kasi, baada ya watiania kutoka vyama mbalimbali kujitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuwania nafasi ya urais kwa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Leo , Agosti 31, 2025, wagombea kutoka vyama vya NCCR-Mageuzi,…

Read More

‘Utapeli ni tishio la ukuaji wa huduma za kifedha kimtandao’

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa kadri huduma za kifedha kwa njia ya kidijitali zinavyokuwa, ndiyo utapeli na ulaghai unavyozidi kuongezeka katika eneo hilo ambalo limebadilisha mambo mengi kwa namna chanya na kurahisisha maisha ma biashara za watu. Wataalamu wa sekta ya fedha wanasema endapo utapeli na ulaghai mtandaoni usipodhibitiwa unaweza kupunguza imani ya wananchi kwenye…

Read More

Akandwanaho, Chobwedo wailiza Fountain Gate

MABAO mawili yaliyofungwa na Joseph Akadwanaho na Ramadhan Chobwedo, yametosha kuipa furaha Tabora United na kupeleka kilio Fountain Gate. Hiyo ilikuwa katika mchezo wa kwanza wa Kundi A kwenye michuano ya Tanzanite Pre-Season International iliyoanza leo Agosti 31, 2025. Michuano hiyo inayofanyika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manywara, Akandwanaho alianza kuifungia Tabora United…

Read More

Dk Nchimbi alivyomaliza mvutano wa Matiko, Kembaki

Rorya/Tarime. Mvutano wa kisiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini limechukua sura mpya baada ya mgombea mwenza wa urais wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuumaliza  kwa kumteua, Michael Kembaki kuwa kampeni meneja wa Esther Matiko. Kembaki alikuwa mbunge wa jimbo hilo (2020-2025), katika kura za maoni mwaka huu aliongoza, lakini…

Read More