Mtibwa Sugar shida iko hapa

MABINGWA wa zamani wa Tanzania, Mtibwa Sugar imeanza vibaya Ligi Kuu Bara kwa kufungwa bao 1-0 na Mashujaa mjini Kigoma, huku kocha wa kikosi hicho, Awadh Juma ‘Maniche’ ametaja sababu za kupoteza alama tatu, akiwataja washambuliaji. Mtibwa iliyorejea katika ligi hiyo baada ya kupanda daraja msimu huu tangu iliposhuka msimu wa 2023-2024 kwa kucheza Ligi…

Read More

KAMATI YA BUNGE YAIPIGIA SALUTI TEKNOLOJIA YA STAMICO

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kikazi mkoani Geita kukagua miradi inayosimamiwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), ambapo imemwagiwa sifa kwa mapinduzi ya teknolojia kwa wachimbaji wadogo. Akizungumza wakati wa ziara hiyo katika eneo la Katente, Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, ameeleza kuwa serikali kupitia…

Read More

Msafara wa Mpina wazuiwa kuingia ofisi za INEC

Msafara wa mtiania wa urais wa Chama cha ACT –Wazalendo, Luhaga Mpina amezuiwa kuingia ndani ya jengo la Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) jijini Dodoma. Msafara huo ulifika saa 6 mchana ya leo Jumatano, Agosti 27, 2025 ambapo askari kanzu na waliovalia sare wamelifunga geti la ofisi hizo  ili asiingie. Jana Jumanne, Mkurugenzi…

Read More

Bado Watatu – 6 | Mwanaspoti

“NIKAITAZAMA namba yake na kuiandika kwenye notibuku yangu kisha nikaingia upande wa meseji zilizotoka ambazo aliziandika marehemu mwenyewe.Huko nilikuta meseji kadhaa lakini nilizozitilia maanani zilikuwa meseji mbili ambazo aliziandika katika tarehe ya jana yake.Moja iliuliza.“Nyumbani wapi?”Ya pili ikauliza.Utakuja saa ngapi?”Nikahisi kwamba meseji hizo zilikuwa majibu ya zile meseji zilizotumwa ambazo moja zilisema; “Itabidi nije nyumbani…

Read More

Kocha Gaborone aipiga mkwara Simba

KOCHA wa Gaborone United, Khalid Niyonzima, amesema hawana presha yoyote kuelelea mchezo wa kesho dhidi ya Simba huku akiwahakikishia furaha mashabiki wa timu hiyo. Gaborone United inaingia kwenye mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali itakayochezwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar, ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza nyumbani kwa bao…

Read More

Mambo 7 yamkalia pabaya Pedro Yanga

YANGA inaendelea kugawa dozi kwenye mechi zake ikitoka kupata mshtuko wa kudondosha pointi mbili baada ya kulazimishwa sare dhidi ya Simba, mchezo ambao uliibua hoja mbalimbali juu ya kiwango cha kikosi hicho. Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa dabi timu hiyo ikiwa chini…

Read More

Bado Watatu – 23 | Mwanaspoti

Isitoshe, mume wangu alinipigia simu akiwa Dar, akaniambia kwamba anatarajia kwenda Zambia alfajiri ile. Hapo nikaona Shefa hakushambuliwa na mume wangu.Sasa atakuwa ni nani ambaye alimfuata humu ndani? Na ni kwa nini aje amshambulie hapa kwangu? Pia nikajiuliza huyo mtu alijuaje kuwa Shefa alikuwa kwangu mpaka akaja kumshambulia?Swali hilo likanigutusha mimi mwenyewe. Nikajiambia kumbe kuna…

Read More

Rais Mhe. Dkt. Samia awasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tarehe 06 Machi, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia amewasili…

Read More

Mwili wakutwa kwenye bwawa Kahama

Kahama.  Mwanamume ambaye hajafahamika jina wala makazi yake amekutwa amefariki dunia kwenye bwawa la maji lililopo Kata ya Nyihogo, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji  Wilaya ya Kahama,  Stanley Luhwago akizungumza leo Septemba mosi, 2025, amesema tukio hilo limetokea Agosti 31, 2025. Amesema walipokea taarifa kutoka kwa wananchi waliouona…

Read More