
Moto wazuka kwenye jengo jipya Kariakoo
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa Kariakoo leo wamekumbwa na taharuki baada ya moto kuzuka katika jengo moja lililopo katika makutano ya mitaa ya Aggrey na Sikukuu na kuharibu chumba kimoja cha duka kati ya vyumba 100 vilivyopo katika jengo hilo.Tukio hilo limetokea leo Agosti 31, 2025 saa 5:30 asubuhi na kuwashtua wafanyabiashara na wateja waliokuwa…