
Mahakama yaamuru KKKT Konde kulipa Sh133.5 milioni michango ya wafanyakazi NSSF
Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya imeiamuru Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde, kulipa michango ya wafanyakazi wake kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), zaidi ya Sh133.5 milioni. Fedha hizo ni malimbikizo ya michango ya wafanyakazi wa Shule ya Manow Lutheran Junior Seminary, ambao ni…