Ibenge: Wiki mbili tu zinatosha
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema wiki mbili jijini Arusha zitatosha kutoa uelekeo wa maandalizi ya msimu mpya, huku akiweka wazi ameona mwanga baada ya kukuutana na wachezaji na kuzungumza na mmoja mmoja. Azam kabla ya kuondoka jijini mapema leo kwenda Arachuga, walikuwa na siku tatu za maandalizi ambapo kocha alipata nafasi ya…