
Eric Shigongo Aanza Kampeni za Nyumba kwa Nyumba Buchosa – Global Publishers
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni za nyumba kwa nyumba kutafuta kura za Dk. Samia Suhulu Hassan ili aendelee kuwatumikia Watanzania. Kampeni hizo zimefanyika kwenye Kijiji cha Kakobe, Kata ya Kazunzu kabla ya uzinduzi wa kampeni kwenye kata hiyo zilizofanyika kwenye Kijiji cha Nyambeba jimbo la Buchosa. Shigongo…