
Tido akumbuka rekodi ya Bayi, akitaja riadha ilivyoibeba nchi
Mwandishi wa habari nguli, Tido Mhando ameeleza kumbukumbu ya miaka 52 ya nguli wa riadha, Filbert Bayi akibainisha namna alivyoibeba nchi enzi zake. Tido amebainisha hayo jana Agosti 30, katika mahafali ya Shule ya Msingi na Sekondari za Filbert Bayi, yaliyofanyika kwenye ‘Campus’ ya Kibaha. Tido aliyekuwa mgeni rasmi, alishuhudia utoaji wa tuzo mbalimbali za…