Mmemsikia aliyeivuruga Stars kwa Mkapa
KIUNGO wa Morocco, Mohamed Rabie Hrimat ameweka wazi dhamira ya timu hiyo katika mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN 2024 ni kutwaa ubingwa kwa mara ya tatu. Mara baada ya kuizamisha Tanzania kwa bao 1-0 katika mechi ya robo fainali kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Hrimat alisema mechi hiyo haikuwa rahisi…