
Jacob Massawe awatolea uvivu mawakala
KIUNGO mshambuliaji wa Namungo, Jaccob Massawe amesema mawakala wanapaswa kuacha tamaa na kuangalia malengo ya wachezaji wadogo akitolea mfano ishu ya Clement Mzize. Mkongwe huyo anayeitumikia Namungo kwa msimu wa tano sasa tangu ajiunge nayo msimu wa 2020/21 akitokea Gwambina. Akizungumza na Mwanaspoti, Massawe mwenye uwezo wa kucheza kama winga amesema mawakala wengi wanakwamisha viwango…