WATANZANIA SABA WAWASILI NCHINI KUTOKEA IRAN

Watanzania SABA waliokuwa nchini Iran wamewasili jijini Dar es Salaam Machi 13, 2026, kufuatia operesheni ya uokozi iliyoratibiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watanzania hao wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8:40 usiku kwa kutumia Shirika la Ndege la Uturuki, wakitokea nchini Uturuki ambako walipokewa awali…

Read More

Nyota Twiga Stars apata dili Uturuki

MCHEZAJI wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, Noela Luhala amejiunga naAntalyaSpor 1207 inayoshiriki Ligi Kuu ya Uturuki. Noela ambaye msimu uliopita alikuwa akicheza Asa Tel Aviv ya Israel, alisafiri kwenda Uturuki jana tayari kuanza kuitumikia timu hiyo aliyosaini nayo mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kumruhusu kuondoka ifikapo Januari…

Read More

CUF yataja mwarobaini wa wizi mali za umma

Mwanza. Chama cha Wananchi (CUF) kimefungua rasmi kampeni zake za kuomba kura kwa wananchi kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, huku kikisema, wezi wote wa mali za umma hawatafungwa jela isipokiwa watatakiwa kurejesha mali. ‎Ufunguzi huo umefanyika leo Jumapili Agosti 31, 2025 katika Uwanja wa Furahisha wilayani Ilemela Mkoa wa Mwanza ukihudhuriwa na mwenyekiti…

Read More

Ushindani sokoni unavyoshusha bei, kuchochea ubunifu

Ni rahisi kuona kampuni kubwa zikishindana na kudhani lengo lao ni kuumizana. Lakini tukilitazama kwa jicho pana, ushindani wa kibiashara si vita ya kuangamiza bali ni nguvu inayowanufaisha wateja. Ukiwa na usimamizi mzuri, ushindani huwa kama fadhili iliyojificha unasukuma ubora juu, bei chini, na ubunifu mbele. Fikiria simu ya mkononi uliyonayo. Kila mwaka kampuni kubwa…

Read More

Shahidi aeleza washtakiwa walivyokiri kuhamisha fedha

‎Dar es Salaam. Askari Polisi mwenye namba G 2325, Sajenti Joseph (41) ameieleza Mahakama jinsi mshtakiwa, Respicius Magesa (54) na mwenzake Andrew Kamugisha (47) walivyokiri kutenda kosa la kughushi na kuhamisha Sh159 milioni, kutoka akaunti binafsi kwenda katika akaunti ya Sekondari ya Macmillian.‎ ‎Joseph, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Alhamisi Machi 5, 2026,…

Read More