Rais Mwinyi Amuapisha Mwanasheria Mkuu Wa Zanzibar – Global Publishers
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Hafla ya uapisho imefanyika leo tarehe 6 Novemba 2025, Ikulu, Zanzibar. Dkt. Mwinyi Talib Haji ameteuliwa tena kushika nafasi hiyo baada ya kuitumikia katika kipindi kilichopita. Hafla hiyo…