Idadi ya vifo ajali ya Chemba yafikia 11
Dodoma. Majeruhi wawili kati ya 11 waliokuwa wakipatiwa matibabu baada ya ajali ya basi la abiria na lori iliyotokea Chemba, mkoani Dodoma, wamefariki dunia, hivyo kufanya idadi ya vifo kufikia 11. Ajali hiyo ilitokea alfajili ya jana, Alhamisi Septemba 18, 2025, na kusababisha vifo vya watu tisa, watano wanaume na wanne wanawake. Mganga Mfawidhi wa…