Araqchi: Trump amesaliti diplomasia na watu wa Marekani

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameisaliti diplomasia na watu wa Marekani waliompigia kura akisisitiza kuwa: Wakati uongo mkubwa unapopotosha ukweli wa mambo, maratajio yasiyo ya kweli katu hayawezi kutimizwa. Sayyid Abbas Araqchi ameyasema hayo katika ujumbe uliotumwa kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ameashiria…

Read More

TTCL YALETA FURAHA KWA WATUMIAJI WA INTANETI, YAJA NA FAIBA ‘SUPERSONIC EXPERIENCE’ YENYE KASI BALAA

Mkurugenzi wa Biashara wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Vedastus Mwita akizungumza na vyombo vya habari katika hafla ya uzinduzi wa kifurushi kipya kijulikanano kama TTCL Faiba ‘Supersonic Experience’ Kasi Balaa. Huduma hiyo ya vifurishi inampa mteja fursa ya kupata intaneti yenye kasi, gharama nafuu pamoja na muda wa maongezi ya simu. Mkurugenzi wa…

Read More

Bilioni 388.8 kujenga Afcon City Unguja

WAKATI Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zitakazokuwa wenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imejiandaa vizuri kupokea ugeni huo kwa kuanzisha mradi wa michezo uliopewa jina la Afcon City. Mradi huo unaojengwa Fumba kisiwani Unguja, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani milioni 150 (Sh388.8 bilioni za…

Read More

Adaiwa kumuua mwanaye kwa jembe wakizozania chakula

Dar es Salaam. Baba mwenye umri wa miaka 63 (jina lake halijapatikana) mkazi wa Kijiji cha Sakwa Kusini kilichopo Kaunti ndogo ya Awendo nchini Kenya anadaiwa kumuua mwanaye wakati wakizozania chakula kisha kutokomea. Tukio hilo limeripotiwa usiku wa Jumanne Agosti 26, 2025 baada ya marehemu mwenye umri wa miaka 28 kuripotiwa kwenda nyumbani kwa baba…

Read More

Ilichokisema CCM mbele ya mwakilishi wa UN

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendeleza dhamira yake ya  muda mrefu wa kuheshimu utawala wa sheria, kidemokrasia na ushiriki wa kisiasa kwa njia za amani. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk Asha-Rose Migiro wakati akikiwakilisha chama hicho katika mazungumzo na Balozi Parfait Onanga-Anyanga, Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja…

Read More

MAKAMU WA RAIS AELEKEA NCHINI GUINEA YA IKWETA

………….. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo tarehe 26 Machi 2026 amewasili Jijini Malabo nchini Guinea ya Ikweta, ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Afrika,…

Read More

PROF. SHEMDOE AWAASA WALIMU 150 KUZINGATIA MAFUNZO NCHINI INDIA ILI KUWA MAHIRI NA KULETA MAGEUZI YA ELIMU NCHINI

******* Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewataka walimu 150 wa Amali za Kihandisi wanaokwenda India kuongeza umahiri kuhakikisha wanajifunza kwa bidii ili watakaporejea wawajengee uwezo walimu wengine, na hatimaye kutoa mchango utaokuwa na tija katika kuharakisha mageuzi ya elimu nchini. Prof. Shemdoe ametoa wito huo Machi 26,…

Read More