
Mtambo wa mabao Yanga unasukwa
NI takribani siku 17 zimebaki kuanzia leo, Agosti 31, 2025 hadi Septemba 16, 2025 itakaposhuhudiwa mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba kuashiria kufunguliwa kwa msimu wa 2025-26. Wakati mchezo huo ukisubiriwa kwa hamu kubwa, huko kambini Yanga kocha mkuu wa kikosi hicho, Romain Folz amekuwa bize kuimarisha kikosi chake huku kubwa…