Ekari 500,000 zatengwa Chunya uwekezaji kilimo cha umwagiliaji
Chunya. Ili kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato ya ndani, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya imetenga eneo lenye ukubwa wa ekari zaidi ya 500,000, kwa ajili ya ujenzi miundombinu ya kisasa ya kilimo cha umwagiliaji kwa zao la mpunga. Eneo hilo limetengwa katika Kijiji cha Sipa, Kata ya Kambikatoto wilayani humo, kwa …