Miili ya Masista waliofariki ajali ya gari yawasili Dar – Video – Global Publishers
Last updated Sep 19, 2025 Miili ya Masista wa Kanisa Katoliki waliopoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea wilayani Misungwi, mkoani Mwanza, imewasili jijini Dar es Salaam na kupokelewa katika Makao ya Masista Boko. Tukio hilo limegubikwa na simanzi kubwa, huku waumini, ndugu, jamaa na viongozi wa Kanisa wakikusanyika kwa ajili…