Mgombea urais UPDP aahidi kununua matrekta milioni 400, kuwajengea nyumba wazee
Arusha. Mgombea urais wa Chama cha The United People’s Democratic Party (UPDP), Twalib Kadege amesema wakishinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, jembe la mkono litakuwa mwisho kutumika kwa kuwa, watanunua matrekta milioni 400 yatakayosambazwa kote nchini kwa ajili ya kilimo cha kisasa. Aidha, ameahidi kutafuta suluhu ya kudumu ya kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji…