Serikali kuongeza ulizi Kwa Mkapa, kamera 200 kufungwa
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaonya mashabiki wa mpira wa miguu wanaofanya vurugu uwanjani akisema watashughulikiwa, kwani Serikali ina ukarabati kwa kuweka kamera zaidi ya 200. Kauli hiyo ameitoa leo Desemba 18, 2024 katika mkutano wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na wadau…