Watuhumiwa wa uchochezi watoweka baada ya dhamana, wasakwa

Iringa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limefafanua madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kupotea kwa watuhumiwa wanne wanaodaiwa kushikiliwa na jeshi hilo, likisisitiza kuwa, hakuna aliyepotea mikononi mwa polisi, bali baadhi yao wanatafutwa kwa kuvunja masharti ya dhamana na tuhuma za mauaji. Akizungumza na waandishi wa habari Februari 26, 2026 ofisini kwake Kamanda…

Read More

CCM INAFANYA KAZI KUBWA YA KULETA MAENDELEO, WANANCHI WAENDELEE KUKIAMINI-WASIRA

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Chama kinafanya kazi kubwa ya kuleta mabadiliko ili kuwaletea maendeleo wananchi. Aidha, amesisitiza wananchi wandelee kukiamini na kukipa nafasi Chama kiendelee kudumisha amani kwa kuwa maendeleo hayatapatikana iwapo itatoweka. Wasira alieleza hayo alipokuwa akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM…

Read More

Migogoro ya ardhi yatikisa ziara ya Kihongosi

Mwanza. Migogoro ya ardhi imekuwa fupa gumu kwenye Jiji la Mwanza huku wilaya za Ilemela na Nyamagana zikidaiwa Sh14 bilioni za fidia na wananchi. Hayo yamebainika kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi katika ziara yake ya kichama mkoani humo. Katika mkutano huo uliofanyika…

Read More

Dk Mwigulu aonya watumishi kupangisha vizimba wafanyabiashara

Arusha. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kwa baadhi ya watumishi wa umma wanaojihusisha na tabia ya kukodisha maduka au vizimba kwa wafanyabiashara kwenye masoko, kinyume na utaratibu. Ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kusimamia sensa ya wafanyabiashara waliokuwa na vizimba katika soko la Kilombero, ili ujenzi utakapokamilika wapewe kipaumbele cha kwanza….

Read More

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AWAJIBU WANAOSEMA CCM INABEBA WATU NA MAGARI KUJAZA UWANJA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Rungwe MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hasan amewajibu wanaosema Chama hicho kinabeba wanachama wake kwenye magari kuwapeleka katıka mikutano ya kampeni zake ambapo amesema siyo shida wala siyo aibu kuwasafirisha wanaokwenda katika mikutano. Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi wa Wilaya Rungwe mkoani Mbeya wakati wa mkutano…

Read More

Wagosi wa kaya wapo tayari Bara

KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Ally Ameir amesema kikosi hicho kipo tayari kukabiliana na Tanzania Prisons katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kupigwa Septemba 17, kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga. Pambano hilo la Wagosi wa Kaya waliowahi kuwa mabingwa wa Ligi Kuu (enzi za Ligi Daraja la Kwanza) mwaka 1988, ni…

Read More