NMB Yakutana na Wafanyabiashara Tabora

Benki ya NMB imefanya kongamano maalum na wafanyabiashara wa mkoa wa Tabora, likilenga kujadili fursa za kifedha na huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo. Meneja Mwandamizi wa Idara ya Biashara wa NMB, Dickson Richard, akizungumza katika kongamano hilo lililofanyika katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, amesema benki imejipanga kuendelea kushiri. kiana kwa karibu na wafanyabiashara…

Read More

Mpina hajapoa, awaburuza kortini Msajili, AG

Dodoma. Kuna usemi usemao haijaisha mpaka iishe, ndio unaweza kuutumia kuelezea harakati za Luhaga Mpina kuendelea kupigania haki yake ya kuteuliwa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kuwania urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Kinachoendelea kwa sasa baina ya Mpina na INEC ni kama filamu ambayo kila mdau wa siasa na wananchi kwa…

Read More

Georges Bussungu wa Tadea na U-tano za ukombozi Tanzania

Februari 5, 1967, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere akiwa mkoani Arusha, alilitangaza rasmi Azimio la Arusha. Watanzania mikoa yote walijitokea kuunga mkono kwa namna mbalimbali. Sehemu nyingi njia iliyotumika ilikuwa ya matembezi ya mshikamano. Umbali kutoka Kijiji cha Mwanhala hadi Nzega Mjini (wilayani) ni kilometa 24. Wanakijiji wa Mwanhala walitembea wakiwa kundi kubwa hadi…

Read More

TRA Geita yavuka lengo la makusanyo, ikiwageukia wafanyabiashara wasio rasmi

Geita/Dodoma. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Geita imekusanya Sh69.2 bilioni kwa mwaka wa fedha 2024/25, sawa na asilimia 113 ya lengo la Sh61.7 bilioni ililopaswa kukusanya. Sambamba na mafanikio hayo, mamlaka hiyo imetangaza mkakati mpya wa kuwashirikisha wafanyabiashara wadogo na wale wa sekta isiyo rasmi kupitia dawati maalumu la uwezeshaji biashara, ili kuwawezesha kurasimisha…

Read More

ZEXZY NA WIMBO WAKE MPYA HIGHER WAZIDI KUPENYA

Msanii Zexzy, anayefahamika kwa sauti yake ya kipekee na mitindo yake ya muziki inayogusa hisia, amerudi tena na kazi mpya inayotikisa anga la muziki. Kupitia wimbo wake wa hivi karibuni unaoitwa “Higher”, Zexzy ameonyesha ukuaji mkubwa wa kisanii na uwezo wa kipekee wa kuunganisha mashabiki kupitia ujumbe na mdundo wenye nguvu. “Higher” ni wimbo unaobeba…

Read More