Mastaa Tabora United wana jambo lao

WAKATI kikosi cha Tabora United kikijiandaa na mechi ya keshokutwa Jumatano ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, wachezaji wa timu hiyo wanadaiwa kuweka mgomo baridi hadi pale ambapo watakapolipwa mishahara ya miezi miwili. Timu hiyo imebakisha mechi mbili za kuhitimisha msimu huu ikianza ugenini kesho dhidi ya Azam, huku kikosi hicho cha Nyuki…

Read More

Azam FC bado haijapata dawa kwa Simba

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC wameendelea kuonyesha ubora wao msimu huu wa mashindano 2024/25 wakiwa chini ya kocha, Fadlu Davids kwa kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika ligi bila ya kuruhusu bao baada ya kuichapa Azam mabao 2-0 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Katika michezo mitano, mitatu ya ligi na miwili ya…

Read More

Mambo matano yaibuliwa uchambuzi wa mapendekezo ya bajeti

Dar es Salaam. Wadau wa uchumi na kodi nchini wamechambua mapendekezo ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 na kupanua wigo pamoja na uwepo ufanisi madhubutu wa usimamizi katika kodi. Mengine waliyoshauri ni bima ya usafiri kwa wageni wanaoingia nchini iangaliwe upya,  mifumo ya utoaji risiti ili kusaidia  usimamizi na kuongeza mapato…

Read More

VIDEO: Wafanyabiashara Soko la Chief Kingalu wagoma, wamtaka DC atengue kauli

Morogoro. Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko kuu la Chief Kingalu katika Manispaa ya Morogoro leo Agosti 23, 2024 wamegoma kufungua biashara zao na kufunga barabara inayoingia sokoni hapo, wakipinga wafanyabiashara wadogo kuruhusiwa kufanya biashara nje ya soko hilo. Wafanyabiashara hao wamedai kuwa agizo la wafanyabiashara hao kufanya biashara nje ya soko hilo lilitolewa na Mkuu…

Read More