Msanii wa Bongo Fleva aachana na muziki wa kidunia, ageukia uchungaji
Dodoma. Unamkumbuka msanii wa zamani wa Bongo Fleva, Kedmon Ainea maarufu kama Ainea, aliyewahi kutamba miaka ya 2000 kupitia vibao kama “Sina Mpango Naye” aliyomshirikisha Mr Blue na “Somebody” akiwa na Shetta. Sasa ameokoka na ni mchungaji wa Kanisa la Anglikana Tanzania. Kwa sasa, Ainea ameachana rasmi na muziki wa dunia na kugeukia uimbaji wa…