JIMBO LA VUNJO LAZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI

JIMBO la Vunjo limezindua kampeni maalum ya upandaji miti katika jimbo hilo ikiwa ni mkakati wa kuimarisha uhifadhi wa mazingira na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi.  Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hiyo, uliofanyika katika shule za sekondari za Mwika Kata ya Mwika Kaskazini, shule ya sekondari Mieresini kata ya makuyuni na…

Read More

Isimani waleza sababu kumchagua Lukuvi miaka 30

Iringa/Dodoma. Wananchi wa Jimbo la Isimani, mkoani Iringa wametoa sababu mbalimbali zilizowafanya kumchagua kwa vipindi sita William Lukuvi awe mwakilishi wao bungeni. Lukuvi (70) amekuwa mbunge wa Islamani (CCM) kuanzia mwaka 1995 hadi jana Jumatano, Machi 25, 2026 alipofariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu ya mshtuko wa moyo. Mwanasiasa huyo…

Read More

WASIRA APIGA MARUFUKU CHUKI CCM

Na Nasra Ismail,Geita.  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, amewatahadharisha wanachama wa chama hicho kuacha tabia ya kuanzisha mivutano na uchochezi wanapokosa fursa za uteuzi au kushindwa katika kura za maoni. Akizungumza mkoani Geita wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la jengo la ofisi za mkoa, Wasira amesisitiza kuwa kukosa uongozi kusitumiwe kama…

Read More

TCDC NA TAKUKURU  ZASAINI MAKUBALIANO KUPAMBANA NA RUSHWA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

  Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege,(kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila,(kushoto) wakionyesha Mkataba baada ya kusaini   hati ya makubaliano ya ushirikiano (MoU) hafla iliyofanyika  jijini Dodoma. ….. TUME  ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imesaini hati ya makubaliano ya…

Read More

WANAWAKE, VIJANA KUNUFAIKA NA MIKOPO NAFUU KUPITIA MFUKO MPYA

Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa VisionFund Tanzania, Deogratias Siria, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Msaada la Norway (Norwegian Church Aid), Berte Marie Ulveseter, wakisaini makubaliano (MoU) ya kuimarisha upatikanaji wa mikopo nafuu kwa wanawake na vijana nchini Tanzania yenye thamani ya zaidi ya TZS milioni 200.       ***** Jamii ya Watanzania, hususan…

Read More

Usiri watajwa kichocheo cha mauaji, ukatili

Dar es Salaam. Hivi karibuni, matukio ya ukatili yameendelea kuishtua jamii baada ya watu kadhaa kupoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha. Matukio hayo si ya mbali tena, yanatokea majumbani, mitaani na hata miongoni mwa watu wanaofahamiana, jambo linalozua hofu na taharuki kubwa kwa wananchi. Miongoni mwa matukio hayo ni kuuawa kwa Athumani Nyanza, ambaye mwili…

Read More

Afrika yahimizwa kubuni mifumo yake ya uhifadhi wa mazingira

Dar es Salaam. Wakati juhudi za kulinda rasilimali na mazingira zikiendelea kushika kasi duniani, Afrika imetakiwa kuachana na utegemezi wa mifumo ya nje na badala yake kubuni mbinu zinazozingatia uhalisia wake wa kijamii, kiuchumi na kimazingira. Wito huo umetolewa leo Alhamisi Machi 26, 2026 na wadau mbalimbali wa mazingira waliohudhuria mdahalo wa kimataifa wa siku…

Read More