
Yaliyobamba 2024: Vipigo 11 vilivyotikisa mwaka huu
LICHA ya kutemeshwa kibarua, aliyekuwa kocha wa Yanga, Miguel Gamondi atabaki kwenye mioyo ya Wananchi kwa kile alichokifanya akiwa na timu hiyo kutokana na rekodi nyingi za nguvu akitoa dozi za kutosha za kuanzia mabao matano katika Ligi Kuu, Kombe la FA na hata michuano ya kimataifa ya CAF. Waswahili husema mnyonge mnyongeni, lakini haki…