Kamati ya Bunge Yapitisha Bajeti ya Elimu 2026/2027, Yalenga Kuimarisha Ujuzi na Kukamilisha Miradi kwa Wakati.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepitisha randama ya mpango na makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida pamoja na mpango wa maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Mpango huo umepitishwa na kamati Machi 24, 2026 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Husna…