WADAU WA UTALII WAZIDI KUITIKIA WITO WA SERIKALI.

-Hoteli ya Kifahari ya Mapito Safari Camp yazinduliwa rasmi Serengeti Matokeo ya jitihada kubwa za Serikali ya Tanzania kutangaza vivutio pamoja na kuvutia wawekezaji wa kimataifa kuja kuwekeza nchini zinazidi kuzaa matunda kwani alhamisi, Agosti 29, 2025 imezinduliwa hoteli ya Mapito Safari Camp katika kijiji cha Robanda, Serengeti iliyojengwa na kampuni kubwa na maarufu ya…

Read More

CCK YAJIPAMBANUA KUSHIKA,KUZINDUA KIJICHI KESHO

………… Chama cha siasa cha Kijamii CCK kimesema moja ya kipaumbele chake katika kampeni za uchaguzi wa mwaka huu kitaweka mikakati mizuri kwa vijana ikiwemo kuboresha elimu imara itakayomsaidia mtanzania kuweza kujiajiri. Mwenyekiti wa Chama hicho na Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania David Mwaijojele amesema hayo leo wakati akizungumza jijini…

Read More

Nondo za CUF kwa elimu ya Tanzania

Dar es Salaam. Wadau wa elimu nchini wamechambua ilani ya uchaguzi ya Chama cha Wananchi (CUF) ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 inayotoa dira ya kina juu ya sekta ya elimu nchini Tanzania wakisema ina mambo mazuri, tatizo ni ahadi kutotekelezwa. Ilani hiyo inaeleza mikakati ya kuhakikisha elimu bora, jumuishi na yenye tija kwa Watanzania wote…

Read More

Zanzibar, Qatar zasaini makubaliano ya Sh25 trilioni

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa Dola za Marekani 10 bilioni zaidi ya Sh25 trilioni na kampuni kutoka Qatar. Kiasi hicho cha fedha kinalenga kutumika katika sekta miradi ya kimkakati na kipaumbele ukiwemo uchumi wa buluu, utalii, uhifadhi wa mafuta, bandari na nishati ya umeme. Mkataba huo…

Read More

TSA, Waturuki kuziinua kampuni changa nchini

Dar es Salaam. Katika kukuza kampuni changa nchini, Chama cha Kampuni Changa Tanzania (TSA) kimeingia makubaliano na kampuni ya uturuki ya AfrIcapital Investment Holdings Ltd, kwa lengo  kusaidia na kuwezesha upatikanaji rahisi wa masoko na mitaji kwa biashara changa. Chama hicho kimesema kina matumaini makubwa ya kupata matokeo mazuri kutokana na ushirikiano huu utakaodumu kwa…

Read More

Nishati safi yapigiwa chapuo usafiri wa ardhini

Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi ikishirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza kaulimbiu ya nishati safi na ubunifu katika usafirishaji kuelekea katika maadhimisho ya kwanza ya Wiki ya Usafirishaji Endelevu wa Ardhini nchini. Madhimisho hayo ya mara ya kwanza yanatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 24 hadi 29…

Read More

Zaidi ya nusu ya Watanzania wanapenda huduma za tiba asili

Dodoma. Asilimia 60 ya Watanzania wanatafuta tiba za asili, ingawa hakuna utafiti zaidi unaoeleza iwapo kundi hilo linatoka vijijini au ni wananchi waishio mijini, imeelezwa. Takwimu hizo zimetolewa leo Ijumaa Agosti 29, 2025 na Dk Ahmad Makuwani, Mkurugenzi wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Wizara ya Afya. Dk Makuwani amesema Serikali…

Read More

Watu Wenye Ulemavu wa Macho Wafikiwa na Meridianbet

LEO hii tarehe 29 ya mwezi wa 8 Kampuni kubwa ya ubashiri Meridianbet, katika mwendelezo wake wa kurejesha kwenye jamii iliamua kuwatembelea watu wenye ulemavu wa macho na kuwapatia msaada wa White Cane ( Fimbo za kutembelea) ambazo hizi zitawasaidia kwenye maisha yao ya kila siku. Ikiwa ni jitihada za Kampuni hii kuijali jamii yake…

Read More