TMA watoa hofu wakulima Nyanda za Juu Kusini
Mbeya. Licha ya kuwepo kwa upungufu wa mvua katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi, Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi waishio mabondeni kuhusu kuwepo kwa vipindi vifupi vya mvua kubwa. Tahadhari hiyo imetolewa leo Ijumaa Januari 10, 2025 na Meneja wa TMA Kanda, Elius Lipiki wakati akizungumza na Mwananchi…