Singida Black Srats itakula sana raha za Chama
SINGIDA Black Stars ilianza kwa kusuasua sana mashindano ya Kombe la Kagame yaliyomalizika Jumatatu wiki hii kwa fainali baina yao na Al Hilal ya Sudan. Na sio kama ilikuwa inacheza vibaya bali pale mbele haikuwa na mtu wa kulainisha. Pupa zilikuwa nyingi sana ilipokuwa inashambulia. Ilionekana wazi Mwamba wa Lusaka ambaye alisajiliwa lakini akachelewa kujiunga…