WAZIRI CHANA AZINDUA MIRADI YA UTALII YA MILIONI 904 SERENGETI

    Na Jane Edward, Serengeti  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua miradi ya kuendeleza utalii ikiwemo Mradi ya Barabara ya Utalii km22 uliogharimu takribani 761.3 na Mradi wa ujenzi wa Vituo Viwili  vya kupokea na kukagua wageni(Ikona Gate na Visitors  Gate) uliogharimu takribani shilingi milioni 143.5 katika Jumuiya…

Read More

Nassor Kapama mbioni kutua Tabora United

KIUNGO mkabaji wa zamani wa Simba, Mtibwa Sugar na Kagera Sugar, Nassor Kapama licha ya kushindwa kuibakisha timu yake anatajwa kujiunga na Tabora United kwa ajili ya msimu ujao 2025/26. Kapama ambaye alirejea Kagera Sugar akitokea Mtibwa Sugar amemaliza mkataba wake na waajiri wake hao hivyo ataondoka akiwa mchezaji huru. Chanzo cha kuaminika kutoka kwa…

Read More

Dk Mpango ataja mchango wa Askofu Ruwa’ichi nchini

Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema Serikali inatambua thamani ya utumishi wa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi katika kipindi cha miaka 25 alichotumikia utume wake nchini. Akizungumza leo Mei 16, 2024 akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye adhimisho la misa ya jubilei…

Read More

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA BRAZILI NCHINI TANZANIA IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi mpya wa Brazil Nchini Tanzania Mhe.Gustavo Martins Nogueira alipofika Ikulu Jijini Zanzibarb leo 13-5-2024 kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein…

Read More

HUYU NDIYE UGIN MKINGA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MADABA

Ruvuma. Ugin Mkinga ni jina jipya lenye mvuto mkubwa katika anga ya siasa ya Tanzania, hasa kwa wale wanaofuatilia mustakabali wa maendeleo ya Jimbo la Madaba, Huyu ni kijana mzalendo mwenye ari, maarifa ya kimataifa na moyo wa kujitolea, ambaye sasa amejitosa rasmi katika kuwania Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), akilenga kulihudumia jimbo alilotokea…

Read More

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Zanzibar alishukuru Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Zanzibar, Shaib Ibrahim Mohamed amelishukuru Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani, Save the Childen na Tanzania Bora Initiative, kwa uwasilishaji wa mradi wa Vijana Plus ambao utawafikia makundi mbali mbali ya vijana wa Zanzibar . Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Ndugu…

Read More

Makocha wamjaza upepo Ngushi, aitaja Simba SC

STRAIKA wa Mashujaa, Chrispin Ngushi amesema anajivunia kuendelea kuaminiwa na makocha katika timu alizopita kwa kumpa nafasi kuonyesha uwezo wake, huku akiitaja mechi dhidi ya Simba kumpa ugumu. Ngushi ambaye aling’ara akiwa na Mbeya Kwanza aliyoipandisha Ligi Kuu msimu wa 2021-2022, baadaye alijiunga na Yanga kwa msimu mmoja kisha kupelekwa Coastal Union kwa mkopo na…

Read More