
TANESCO RUVUMA: VIFAA VYA KISASA VYA KUPIKIA VYA UMEME NI NAFUU NA SALAMA.
Songea- Ruvuma. Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Ruvuma, limewataka wananchi kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na badala yake watumie majiko ya umeme ya kisasa aina ya induction na pressure cooker, baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo vinatumia umeme kidogo na ni nafuu kwa matumizi ya kila siku. Akizungumza katika kongamano la…