
Mauaji Ukraine vifo vyafika 23, serikali yatangaza siku ya maombolezo
Kyiv. Mamlaka za kiusalama nchini Ukraine zimesema jumla ya watu 23 wamefariki dunia na 48 wamejeruhiwa kufuatia shambulio la Urusi lililofanywa katika mji wa Kyiv siku ya jana. Ifahamike kuwa mapema asubuhi ya jana jeshi la Urusi lilifanya shambulio lililohusisha ndege zisizo na rubani 598 na makombora 31 ya aina tofauti na likilenga maeneo 33…