RAIS MSTAAFU DKT KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA NA WATUMISHI WA TAASISI YA GPE JIJINI WASHINGTON DC, MAREKANI

Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bi. Mamta Murthi, Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Maendeleo ya Watu walipokutana makao makuu ya Benki hiyo jijini Washington DC, Marekani. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Bi. Christine…

Read More

Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere wafikia asilimia 99.55

Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme utakapozalishwa uingizwe kwenye Gridi ya Taifa kwa mafanikio yatakayoleta tija inayotarajiwa kwa…

Read More

SMZ yatoa angalizo mawakala feki elimu ya juu

Unguja. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema kumekuwapo na wimbi la mawakala feki wanaowaliza wazazi na wanafunzi wakidai kuwapeleka kusoma vyuo vya elimu ya juu nje ya nchi kumbe hawana sifa, hivyo kuwataka wajihadhari na utapeli huo. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali (Wema), Abdugulam Hussein amesema hayo leo Julai 21, 2024 alipofunga…

Read More

Athari za mzazi kupuuza kipaji cha mwanawe

Katika jamii nyingi, wazazi huwa na matarajio makubwa juu ya maisha ya watoto wao. Ni jambo la kawaida mzazi kutamani mtoto wake awe daktari, mwanasheria, au mhandisi, bila kujali kama mtoto huyo ana kipaji au mapenzi ya dhati kwa taaluma hizo. Hali hii imekuwa chanzo cha migogoro ya ndani kwa watoto wengi, na mara nyingi…

Read More

Hersi, Arafat waachiwa msala hatima ya Folz Yanga

PRESHA iliyopo ndani ya Yanga hivi sasa, inamfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Romain Folz kusikilizia hatima yake ndani ya timu hiyo. Hali hiyo imekuja kufuatia kundi kubwa la mashabiki hawajaridhika na kiwango cha timu hiyo licha ya kwamba haijapoteza mechi yoyote hadi sasa. Inaripotiwa kwamba uongozi wa Yanga umeanza mchakato wa kimyakimya wa kumsaka…

Read More

VIDEO: Maria Sarungi apatikana, aahidi kuzungumza kesho

Dar es Salaam. Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye alidaiwa kutekwa leo nchini Kenya, amepatikana huku akiahidi kuzungumza zaidi kesho baada ya kutulia. Taarifa ya kutekwa kwa Maria ilitolewa leo Jumapili Januari 12, 2025 na taasisi ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu ikisema:  “Maria Sarungi Tsehai, mhariri huru wa vyombo vya habari nchini Tanzania na mtetezi…

Read More