
Hekaheka wiki ya kwanza kuzisaka kura urais 2025/30
Dar es Salaam. Hekaheka za kusaka kura za nafasi ya urais katika wiki ya kwanza ya kampeni tayari zimeanza na kuvifanya vyama vya siasa kugawana maeneo ya nchi, kunadi sera zao kushawishi wananchi, ili wagombea wao wachaguliwe. Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho kilichofungua pazia la kumnadi mgombea wake, Samia Suluhu Hassan, sambamba na mgombea mwenza…