Hizi Hapa Sababu 7 Zinazofanya Mazda Verisa Kuwa Bora Zaidi ya IST
Toyota IST Katika miaka ya karibuni, Mazda Verisa imekuwa moja ya magari yanayouzwa kwa kasi kwenye soko la magari yaliyotumika nchini Tanzania. Wakati Toyota IST bado ni maarufu kutokana na jina la Toyota, wanunuzi wengi wameanza kuelekeza macho yao kwenye Verisa. Swali muhimu ni kwa nini hali hii inatokea? Hii hapa makala kamili inayochambua sababu…