CCM Katavi yajibu kauli ya Arfi

Mpanda. Baada ya aliyewahi kuwa mbunge wa Mpanda Mjini mkoani Katavi, Said Arfi kusema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatumia nguvu kubwa kuua vyama vya upinzani, chama hicho kimepinga kauli hiyo. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Mkoa wa Katavi, Theonas Kinyoto amesema tuhuma hizo si za kweli, bali vyama vya upinzani bado ni vichanga…

Read More

‘Dk Manguruwe’ kortin akikabiliwa na mashitaka 28 yakiwemo kuendesha biashara ya upatu

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40), maarufu Dk Manguruwe na Mkaguzi wa kampuni hiyo, Rweyemamu John (59) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka 28 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha kinyume cha sheria. Inadaiwa washtakiwa hao walijipatia Sh92.2 milioni kutoka kwa…

Read More

Mpina alikataa shangingi la INEC akiteuliwa kuusaka urais

Dar es Salaam. Wakati Mgombea urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akiteuliwa rasmi kuwania nafasi hiyo, Chama hicho kimelikataa gari jipya aina ya Toyota LandCruiser GX VXR lililotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa ajili ya kampeni za urais. Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele, akizungumza leo Jumamosi…

Read More

Vigogo wa dawa za kulevya kubanwa kila kona

Dar es Salaam. Ni kibano kila mahali. Ndiyo inaweza kuwa tafsiri ya kilichofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) baada ya kuingia makubaliano na Shirika la Posta Tanzania (TPC) kudhibiti usafirishaji wa dawa hizo kupitia vifurushi. Hatua hiyo imefikiwa kufuatia kuwepo kwa wimbi la watu wanaosafirisha dawa za kulevya kupitia…

Read More