Kampeni utambuzi wa mifugo yazinduliwa, 800,000 kuchanjwa Kishapu
Kishapu. Mratibu wa chanjo ya mifugo Wilaya ya Kishapu, John Mchele amesema itafanyika kampeni ya chanjo na utambuzi wa mifugo wilayani humo ikiwa ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mifugo. Magonjwa yanayolengwa chini ya mpango huo ni homa ya mapafu kwa ng’ombe, sotoka kwa mbuzi na kondoo pamoja na ndui,…