Mtego mpya wa Pedro Yanga

YANGA imetangaza imemrudisha Abdihamid Moalin na kumwongeza katika benchi la ufundi la timu hiyo kuwa msaidizi wa Pedro Goncalves ambaye inaelezwa anahesabu siku katika klabu hiyo kutokana na kile kilichobainishwa aina ya uchezaji wa Yanga hauendani na wachezaji waliopo. Uamuzi huo umekuja baada ya kikazo kizito kilichofanywa na uongozi wa Yanga juzi Jumatatu ukiongozwa na…

Read More

Pakistan Yajitolea Kuandaa Mazungumzo Kati ya Iran na Marekani

Global Publishers March 25, 2026 0 Comments Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, ameonesha utayari wa nchi yake kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, endapo pande zote zitakubali wazo hilo. Sharif amesema Pakistan iko tayari kusaidia kurahisisha mazungumzo yenye lengo la kupata suluhisho la kudumu kwa mzozo unaoendelea. Wakati huohuo,…

Read More

MAONESHO YA MIFUGO KANDA YA ZIWA 2026, KUFANYIKA BUSANDA- SHINYANGA, WADAU WAKARIBISHWA

****** Na. Mwandishi Wetu, MAONESHO ya Mifugo Kanda ya Ziwa (Lakezone Livestock Expo) yanatarajia kufanyika Mei 30-31 mwaka huu, Busanda Mkoani Shinyanga, ambapo wadau mbalimbali wa mifugo wanatarajiwa, kushiriki. Kwa mujibu wa Diana Lukio Ambaye ni Mwandaaji wa maonesho hayo, amebainisha kuwa, yatawakutanisha wafugaji, wakulima na wadau wote kwenye mnyororo wa thamani kutoka Mikoa ya…

Read More

TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI

******* Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Msaada huo umekabidhiwa Machi 24, 2026 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) kwa niaba…

Read More

Katibu UVCCM Pangani aanza ziara ya “Operesheni Samia”

Na Mwandishi Wetu, Pangani Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Pangani mkoani Tanga, Nasri Mkalipa, ameanza ziara ya kuimarisha uhai wa Chama na kusikiliza kero za wananchi, ziara iliyopewa jina la “Operesheni Samia.” Mkalipa ameanza ziara hiyo Machi 24, 2026, katika Kata za Mkalamo na Mkwaja ambapo ameonana na…

Read More

Kongole NECTA kwa mpango kupanda miti 150,000 kutunza mazingira

………….. Na: Dk. Reubeni Lumbagala Utunzaji wa Mazingira ni jukumu letu sote. Uwe mtoto, kijana, mtu mzima au mzee. Uwe mwanamke au mwanamme, uwe msomi au usiwe msomi, suala la utunzaji mazingira linakuhusu. Faida za utunzaji mazingira zinatunufaisha sote. Madhara ya uharibifu mazingira yanatuathiri sote. Hakuna aliye salama mazingira yakiharibika. Ndiyo maana ni vyema mikakati…

Read More

KATAMBI AWASILISHA UTEKELEZAJI NA BAJETI 2024/2025/2026

….. Waziri wa Mambo ya Nchi,Mheshimiwa Patrobas Katambi (MB), amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026 pamoja na kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Amewasilisha Taarifa ya Wizara,Jeshi la Polisi, Magereza, Uhamiaji,Zimamoto na Uokoaji na Mamlaka…

Read More