Malumbano ya hoja kesi dhidi ya Lissu kuahirishwa
Dar es Salaam. Ombi la kuahirishwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu limeibua mvutano wa hoja za kisheria katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, huku mshtakiwa huyo anayejitetea mwenyewe akieleza azma ya kwenda Mahakama ya Rufaa kupinga Kanuni za Ulinzi wa Mashahidi za mwaka 2025. Mbali ya…