TFF, TAKUKURU waanze na kiongozi KenGold
HIVI karibuni wakati tunasikiliza kipindi cha michezo cha kituo fulani hivi cha redio, kiongozi mmoja wa KenGold ya Mbeya akatoa tuhuma nzito za rushwa kwa baadhi ya maofisa na wachezaji wake. Akasema kuna timu ya Ligi Kuu iliwahonga baadhi ya wachezaji wake ili wacheze chini ya kiwango na wapinzani wao wapate ushindi kirahisi katika mechi…