
Yanga, Simba zagawana viwanja Dar
MUDA mfupi baada ya Bodi ya Ligi kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Bara, imethibitisha kuwa Yanga imebadili uwanja wa nyumbani na sasa itatumia ule wa Mkapa, huku Simba ikibaki KMC Complex, Mwenge vyote jijini Dar es Salaam. Msimu ulioisha Simba na Yanga zote zilikuwa zinatumia Uwanja wa KMC kama uwanja wa nyumbani,lakini sasa Mnyama ndio…