
DKT. NCHIMBI ATIA MGUU MWANZA KUOMBA KURA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
:::::::: Na Mwandishi Wetu,Mwanza Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi amewasili Mkoa wa Mwanza Leo Agosti 29, 2025 kwa ajili ya Kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Balozi Dkt Nchimbi anatarajia kufanya mikutano mbalimbali kwa ajili ya kuzinadi sera pamoja na Ilani…