Watanzania mzigoni nusu fainali Ligi ya Mabingwa
JKT Queens inajiandaa kurejea nchini baada ya kung’olewa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa timu za wanawake (WCL), lakini kuna Watanzania wawili wanaokipiga klabu ya FC Masar ya Misri watakaokuwa uwanjani usiku wa leo katika mechi za nusu fainali. Wawakilishi hao wa Tanzania walipangwa Kundi B na kumaliza nafasi ya tatu ikitoka…