Kiu na kufa na njaa, Wagazans wanakabiliwa na uhamishaji wa ‘kibinadamu’; UNICEF – Maswala ya Ulimwenguni

Maendeleo hayo yalifuatia ripoti kwamba jeshi la Israeli limepanda ardhi yake kukera katika Jiji la Gaza, na kuwaamuru wakaazi waondoke katika eneo hilo. Akizungumza kutoka kusini mwa enclave, UNICEFTess Ingram alielezea uhamishaji wa nguvu wa familia kama “tishio mbaya kwa walio hatarini zaidi”. “Ni ubinadamu kutarajia karibu nusu ya watoto milioni walioshambuliwa na kuhuzunika kwa…

Read More

Salum Mwalimu atoa ahadi kwa wachimbaji akiomba kura

Katoro. Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya madini kwa kuwalinda wachimbaji wadogo, hasa vijana, dhidi ya kile alichokiita ni unyanyasaji wa kuondolewa katika maeneo yenye rasilimali kama atachaguliwa. Amesema wimbi la unyanyasaji kwa wachimbaji hao limezidi, wanafukuzwa kwa nguvu na kunyimwa haki…

Read More

Saumu Mwalimu atoa ahadi kwa wachimbaji akiomba kura

Katoro. Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya madini kwa kuwalinda wachimbaji wadogo, hasa vijana, dhidi ya kile alichokiita ni unyanyasaji wa kuondolewa katika maeneo yenye rasilimali kama atachaguliwa. Amesema wimbi la unyanyasaji kwa wachimbaji hao limezidi, wanafukuzwa kwa nguvu na kunyimwa haki…

Read More

Nikiwa Rais madini ya Tanzanite yatainufaisha Manyara – Doyo

Babati. Mgombea urais kupitia chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema endapo atachaguliwa kushika nafasi hiyo, atahakikisha madini ya Tanzanite yanawanufaisha wana Manyara kuliko hivi sasa. Doyo ameyasema hayo leo Jumanne Septemba 16, 2025, alipozungumza na wananchi wa maeneo ya Bonga, Hala, Nakwa, Sigino na Singu Wilaya ya Babati mkoani Manyara. Amesema madini ya Tanzanite…

Read More

Ligi Kuu 2025/26: Hizi zitapigwa sana na jua

RATIBA ya Ligi Kuu Bara 025-2026 imetoka ambapo pazia litafunguliwa kesho, Septemba 17, 2025 kwa KMC kuikaribisha Dodoma Jiji saa 10:00 jioni huku Coastal Union ikipambana na Tanzania Prisons saa 1:00 usiku. Mwanaspoti linakuletea timu zitakazokuwa na mechi nyingi saa 8:00 mchana zikiwemo Mashujaa, Tanzabia Prisons, KMC, Mbeya City, Pamba Jiji, Tabora United, Namungo na…

Read More