Siku 407 bila kupatikana muuguzi wa KCMC aliyetoweka
Moshi. Ikiwa zimepita siku 407 tangu kutoweka kwa muuguzi wa idara ya masikio, pua na koo (ENT), Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC, Lenga Masunga Ng’hajabu (38) familia imesema bado hawajakata tamaa kumtafuta. Muuguzi huyo anadaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha Julai 2, mwaka 2024, mtaa wa Rau Pangaleni, Wilaya ya Moshi, mkoani…